Tuesday, February 15, 2011

Mvua yaleta Msiba Dar

Marehemu Prof. Chriss Kamuzora (katikati mwenye Kaptura) enzi za uhai wake akiwa mchezoni Gymkhana ambapo mauti ilimfika baada ya kuangukiwa na mti kufuatia mvua kubwa na kali ya upepo iliyonyesha jijini leo tarehe 15/02/2011.

No comments:

Post a Comment