Tuesday, August 30, 2011

Mgambo wa Jiji wanapotumia nguvu zaidi ya akili

Mgambo wa jiji walilifunga nyororo gari la ofisi ya Ubalozi leo jijini. Sidhani kama hawa watu wamefunzwa na wakaelewa majukumu yao, mipaka na matumizi ya nguvu zaidi ya akili walizonazo wakati wakiwajibika.

No comments:

Post a Comment