Monday, January 9, 2012

The Blues !

Remires, Frank na Torres wakimuangalia dogo akionesha kipaji chake kwa wanandinga hao wa Chelsea kwa kupiga danadana. Dogo anaandaliwa kuja kurithi nafasi za wachezaji hao hapo mbeleni pale darajani. 

No comments:

Post a Comment