Monday, January 9, 2012

Timing !

Inavyooekana dereva wa gari hii aidha hakuona kama barabara imekatika kutokana na mvua kubwa iliyonyesha mwishoni mwa mwezi Desemba mwaka jana,ama alikosea 'timing' ya kulikwepa shimo hilo na kumudu kulisimamisha gari hilo lisitumbukie.

No comments:

Post a Comment