Monday, October 24, 2011

Hofu ya Bomu !

Baadhi ya maeneo nchini Uturuki yaliyokumbwa na tetemeko la ardhi hapo jana na kuukadiriwa kuuwa watu zaidi ya 230 na wengine 1,300 wakijeruhiwa vibaya katika tukio hilo ambalo wakazi wake walidhania ni Bomu lililolipuka

No comments:

Post a Comment