Sunday, October 9, 2011

Ajali ya Basi la Ng'itu

Basi la Ng'itu Express linalofanya safari zake za Dar - Mtwara - Dar lililopata ajali katika kijiji cha Miteja Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi kama lilivyokutwa leo mara baada ya kupata ajali. Hakuna abiria wala mtu yeyote aliyepoteza maisha kwenye ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment