Sunday, February 20, 2011

Museven ashinda uchaguzi Uganda

Rais mteule wa Uganda Bw. Yoweri Kaguta Museven (M7) ambaye ameshinda uchaguzi wa Rais uliofanyika nchini humo mwishoni mwa wiki. Rais huyo ameiongoza Uganda tangu mwaka 1986 akiwa Rais. Hata hivyo kuna taarifa kuwa mpinzani wake mkuu Dr. Byesigye huenda akapinga matokeo hayo endapo itadhihirika kuwa uchaguzi haukuwa huru na wa haki.

No comments:

Post a Comment