Sunday, February 20, 2011

Kitu cha Nguna

Wakina mama wakishirikiana kuandaa chakula maarufu nchini Tanzania kiitwacho Ugali a.k.a Nguna, bondo.Hii ni taswira halisi ya maisha wa watanzania wengi tuishio vijijini namna tunavyoandaa vyakula katika mazingira kama haya,aina ya chakula tunachokula na pia uhalisia wa hali za kiuchumi miongoni mwetu.

1 comment: