Wednesday, February 16, 2011

Milipuko ya mabomu Gongolamboto

                                      Moja kati ya milipuko iliyokuwa ikirindima kwa muda wa saa mfululizo na kusababisha kadhia, taharuki na hofu kubwa kwa wakazi wa Viunga vya Gongolamboto na sehemu zingine jijini Dar es salaa usiku wa tarehe 16/02/2011
Baadhi ya majeruhi wa  milipuko hiyo wakipokelewa na kupatiwa huduma ya kwanza kwenye hospital ya Amana usiku huo.

No comments:

Post a Comment