Wednesday, January 2, 2013

Nyumba inapangiswa,


HERI YA MWAKA MPYA 2013. Nyumba inapangishwa Kinyerezi na leo nimependa kuaatch picha ya hiyo nyumba find attched photo. Ipo kinyerezi, four bed rooms, big sitting room, dining, kitchen, stores na special place for refrigerator & frezer. Ina eneo kubwa la nje kama eka moja hiv with fance na get. Ipo karibu sana na bararara kuu iendayo mjini(City centre) kupitia barabara ya majumba sita au hata tabata segerea. Kwahiyo basi kama una rafiki, ndugu yako, jamaa wa karibu, makampuni ya serikali na hata binafsi, au hata wewe mwenyewe.. anayetafuta nyumba ya kushi. Wasiliana na namba hizi kwa maelezo zaidi pamoja na bei 0713275538 au 0787275538 au 0767 067739


No comments:

Post a Comment