Monday, September 19, 2011

Mkuu anapoonesha uungwana!


Mtoto wa Mkulima ambaye ndiye Waziri Mkuu Mh. Mizengo K.P.Pinda akiteta na Mama Maria Nyerere mke wa hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere kijijini Butihama mkoani Mara mapema jana.

No comments:

Post a Comment