Saturday, February 26, 2011

Hata Bongo hakuna hii

Hii inaonesha hali halisi ya usafiri katika mji wa Kandahari. Pengine ni upungufu wa vyombo maalum vya usafiri ama ni raia wapo katika safari maalum hivyo wameamua kutumia usafiri huo.

No comments:

Post a Comment