Thursday, February 3, 2011

Hali ni tete nchini Egypt

 Kumekuwa na hali ya Hatari nchini egypt, waandamanaji ambao wanataka President Mubarak ang'atuke wamekuwa wakichoma nyumba, Magari na Mamia ya Watu wameuwawa.



Amani ni kitu muhimu, Mtanzania unajifunza nini kutoka kwa watu hawa?

No comments:

Post a Comment