Saturday, February 19, 2011

Adha ya usafiri wa Kusini

 Abiria wa basi hili wakilisukuma baada ya kukwama katika matope katika eneo la Marendego wilaya ya Kilwa mkoani Lindi jana. Wakazi wa mikoa ya Kusini (Lindi na Mtwara) bado wanapata taabu sana kupita eneo hilo lililokwenye matengenezo ya muda mrefu sasa bila kukamilika.

No comments:

Post a Comment