Wednesday, January 5, 2011

Ajali ya Xmass...


Ajali hii Imetokea Siku ya Xmass baada ya Dreva wa hii daladala kulewa na hivyo kusababisha gari kupinduka, Dreva huyo amekimbia mpaka leo haijulikani alipo.

1 comment: