Moja kati ya milipuko iliyokuwa ikirindima kwa muda wa saa 3 mfululizo na kusababisha kadhia, taharuki na hofu kubwa kwa wakazi wa Viunga vya Gongolamboto na sehemu zingine jijini Dar es salaa usiku wa tarehe 16/02/2011
Baadhi ya majeruhi wa milipuko hiyo wakipokelewa na kupatiwa huduma ya kwanza kwenye hospital ya Amana usiku huo.
No comments:
Post a Comment