Hali Bado ni tete kwa wakazi wa Gongo la Mboto, Watu wameendelea kukimbia kama wakimbizi kutokana na hofu ya mabomu kulipuka tena, Wananchi wameonekana wakiwa wamezagaa barabarani wakijaribu kuyahama makazi yao kwa mda!!!
Watoto wengi wamepotea na wananchi wanatakiwa kutembelea vituo vya police vya ukonga, Buguruni, Airport ili kuwatambua watoto wao ambapo watoto wengi wameokotwa na kupelekwa huko.
Maeneo ya PUGU baadhi ya nyumbwa zimejaa mabomu uwani ambapo wanachi hao wanaogopa hata kuyasogelea makazi yao. Nyumba nyingi zimebomoka na wananchi kukosa makazi.
.
No comments:
Post a Comment