Baadhi ya watu wamerudi kwenye makazi yao baada ya hali kuwa shwari kutokana hotuba ya Rais baada ya kukutana na Kamati ya Usalama. Wananchi wameondolewa Hofu, aidha Rais aliomba nchi marafiki za Jirani kuweza Kusaidia uchunguzi wa tukio hilo, Pia aliiomba Jumuia ya Madola kusaidia katika Uchunguzi na Kuweza kusaidia jinsi ama namna sahihi ya kuifadhi mabomu Hayo.
No comments:
Post a Comment