Ajali mbaya ya Pikipiki
Ajali mbaya ya pikipiki iliyotokea eneo la Mkundi katka Manispaa ya Morogoro baada ya dereva wa pikipiki hiyo aligongana uso kwa uso na Fuso na kusababisha kifo cha dereva huyo na kuumia vibaya kwa abiria wake. Wananchi watumiaji wa usafiri huo tunakumbushwa kuwawaangalifu na kuwadhibiti madereva hao wanaokwenda kwa kasi sana na kuhatarisha maisha yetu.
No comments:
Post a Comment